Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa ulioko Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja na (kushoto kwa
Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe Rashid Hadidi Rashid na Sheikh
Fesal msimamizi wa ujenzi wa Msikiti huo, ufunguzi huo umefanyika kabla ya
Sala ya Ijumaa 28-5-2021.