Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi,amewahimiza masheikh kutumia mikusanyiko ya kiimani kuiombea nchi amani ili Serikali iendelee na mipango ya maendeleo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi,amewahimiza masheikh kutumia mikusanyiko ya kiimani kuiombea nchi amani ili Serikali iendelee na mipango ya maendeleo ameyasema hayo tarehe 25 Oktoba 2024 alipofungua Ijitimai ya Sita katika Msikiti wa Fissabilillah Tabligh Markaz, Kidoti, Mkoa wa Kaskazini Unguja.