Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar j
Rais wa Ranzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa mgeni wa heshma katika Hafla ya Chakula cha usiku na Taarab katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar jana katika kusherehekea miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan na Makamo wa Rais wa Burundi Mhe.Prosper Bozombaza.