Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pia Mwenyekiti wa CCM Taifa Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan(kulia)akiagana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(katikati) pamoja na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Kassim Majaliwa majaliwa ikiwa mwisho wa kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 45 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapindfuzi (CCM) zilizofanyika Mkoani Mara.