RAIS wa Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikagua ujenzi wa Barabara ya Kizimbani hadi Kiboje, baada ya kuweka jiwe la msingi
02 Jan 2025
9
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikagua ujenzi wa Barabara ya Kizimbani hadi Kiboje, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi huo leo 2-1-2025, (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi ,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar