MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi wa meza kuu baada ya kuwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma kwa ajili ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Maalum uliofanyika katika ukumbi huo leo.1-4-2022.