Rais wa Zanzibar na MBLM Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akiagana na Rais Mstaafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo mara baada ya kumalizika kwa hafla ya uzinduzi wa kitabu cha "Asian Aspiration Book" cha Rais Mstahafu wa Nigeria Mhe.Olusegun Obasanjo.