Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Balozi mdogo wa China
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mhe.Mama Mariam Mwinyi akipokea zawadi kutoka kwa Balozi mdogo wa China Mhe. Zhang Zhisheng anayefanyia kazi zake Zanzibar.