RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake CEO wa Shirika la Marekani Linalojihusisha na Kustawisha Maisha ya Wazee (AARP) Bi. Jo Ann C.Jenkins, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-2-2024