Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akiwa katika
Mgombea Mteule wa Urais wa Zanzibar kwa Tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk , Hussein Ali Mwinyi akiwa katika gari la wazi akiwasalimia wananchi waliofika kumpokea kando kando mwa barabara ya kutokea Uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume jijini Zanzibar akitokea Jijini dodoma ambapo ameteuliwa kuipeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi kwa upande wa Zanzibar.