Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mambo yote anayoyatamka hadharani juu ya utekelezaji wa miradi mikubwa zaidi ya maendeleo hapa nchini sio porojo za kisiasa bali ni dhamira yake ya kweli
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mambo yote anayoyatamka hadharani juu ya utekelezaji wa miradi mikubwa zaidi ya maendeleo hapa nchini…
Read More