News and Events

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali Ina Wajibu Mkubwa wa Kuendelea Kuwekeza katika Elimu ya juu ili kuzalisha Wataalamu wengi zaidi watakaochangia Maendeleo katika Sekta tofauti na Ustawi wa Wana

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali Ina Wajibu Mkubwa wa Kuendelea Kuwekeza katika Elimu ya juu ili kuzalisha Wataalamu wengi zaidi…

Read More

Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo kwani ni Mshirika Muhimu katika Juhudi za kukuza Uchumi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar itaendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika Nyanja mbalimbali za Maendeleo kwani ni Mshirika…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi Ameziagiza Taasisi,Wadau na Wananchi kuendelea kushajihisha Uwekezaji katika Sekta ya Utalii ili Zanzibar inufaike zaidi na Mapato yanayotokana na sekta hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi Ameziagiza Taasisi,Wadau na Wananchi kuendelea kushajihisha Uwekezaji katika Sekta ya Utalii ili Zanzibar inufaike…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani Ulimwenguni.Akizungumza…

Read More