News and Events

Dk. Mwinyi amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuweka Mkazo wa kuwasaidia Masikini ,Wajane na Yatima ili Kuwapa Unafuu wa Maisha wakati wa kufunga Ramadhani

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaji Dkt Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Waumini wa Dini ya Kiislamu kuweka Mkazo wa kuwasaidia Masikini ,Wajane na Yatima ili Kuwapa…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuweka mazingira wezeshi kwenye Bima.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Hussein Ali Mwinyi ameeleza kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Kushirikiana na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Itaendelea…

Read More

Benki ya Dunia Imeipatia Zanzibar Kiasi cha Dolla Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.

Benki ya Dunia Imeipatia Zanzibar Kiasi cha Dolla Milioni 100 kwa ajili kuimarisha Miundombinu ya Sekta ya Afya hapa nchini.Mkurugenzi Muendeshaji wa Benki hiyo Kanda ya Kusini Mwa Afrika Milena…

Read More

Serikali itaendelea Kuunga mkono Harakati za Jumuiya ya Wawakilishi Wanawake (UWAWAZA) za kuwajengea Uwezo Wanawake katika Maendeleo yao kisiasa,Kiuchumi na Kijamii.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea Kuunga mkono Harakati za Jumuiya ya Wawakilishi Wanawake (UWAWAZA) za kuwajengea Uwezo…

Read More