Rais Dk.Mwinyi asaini Sheria mpya zinazogusa wananchi na haki zao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kusainiwa kwa sheria mpya itaondoa changamoto ambazo zilikuwa vikwazo katika kufikia malengo ya kimaendeleo.
Read More