News and Events

Dkt, Mwinyi amewahakikishia Wafanyabishara kuwa Serikali itaendelea kujenga Masoko zaidi ili kutoa fursa pana ya kufanya Biashara katika Mazingira mazuri.Rais

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewahakikishia Wafanyabishara kuwa Serikali itaendelea kujenga Masoko zaidi ili kutoa fursa pana ya kufanya Biashara…

Read More

Rais Mwinyi ameongoza Viongozi katika Dua ya Hayati Mzee Mwinyi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amewaongoza Viongozi mbalimbali na Wananchi katika Dua Maalum ya Kumuombea aliyekuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili…

Read More

Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanya juhudi Maalum za kuhakikisha Bidhaa za Vyakula zinakuwepo za kutosha Wakati wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanya juhudi Maalum za kuhakikisha Bidhaa za Vyakula zinakuwepo za kutosha Wakati wa Ramadhani.Alhaj…

Read More

Serikali Itaendelea na Mikakati Mbalimbali kuhakikisha inawekeza kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Mikubwa zaidi ya Maendeleo hapa nchini

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali Itaendelea na Mikakati Mbalimbali kuhakikisha inawekeza kwa ajili ya Utekelezaji wa Miradi Mikubwa…

Read More