News and Events

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameziagiza Wizara zote za Serikali, Mashirika, Mikoa , Wilaya, Manispaa, Mabaraza na Halmashauri za Miji kote nchini kuanza kutumia mfumo wa Unun

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ameziagiza Wizara zote za Serikali, Mashirika, Mikoa , Wilaya, Manispaa, Mabaraza na Halmashauri za Miji kote nchini kuanza kutumia mfumo…

Read More

RAIS wa Zanzibar na MBLM Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuitumia Misikiti kwa ajili ya kupata elimu itakayowawezesha kutekeleza vyema ibada

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Mwinyi amewataka waumini wa Dini ya Kiislamu kuitumia Misikiti kwa ajili ya kupata elimu itakayowawezesha kutekeleza vyema…

Read More

Uzinduzi Maadhimisho Miaka 25 ya Taasisi ya Mama Anna Mkapa

SERIKALI zote mbili zitaendelea kuandaa mazingira rafiki na kufanya kazi kwa karibu na wadau wote katika kuimarisha ustawi wa wananchi na ujenzi wa nchi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza…

Read More

Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya itafanya bidii katika kuhakikisha inautengeneza Mfuko wa Hijja ili kuwasaidia wale wote wasio na uwezo wa kwenda kufanya ibada ya Hija

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya itafanya bidii katika kuhakikisha inautengeneza Mfuko wa Hijja ili kuwasaidia…

Read More

Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba juhudi za makusudi zitaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi zinatekelezwa ipasavyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza kwamba juhudi za makusudi zitaendelea kuchukuliwa katika kuhakikisha ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi…

Read More