Ujio wa Madaktari kutoka Jumuiya isiyo ya Kiserikali ya ‘Save a Child’s Heart’ ya nchini Israel unaisaidia sana Serikali kuondokana na gharama kubwa ya matibabu ya Ugonjwa wa moyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa Madaktari kutoka Jumuiya isiyo ya Kiserikali ya ‘Save a Child’s Heart’ ya nchini Israel unaisaidia…
Read More