Media

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha kwa wananchi

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa kwa Uchumi kwani kutapunguza ugumu wa gharama za maisha…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema suala la kuimarisha utawala bora ni jambo la msingi kuleta maendeleo ya nchi,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema suala la kuimarisha utawala bora ni jambo la msingi kuleta maendeleo ya nchi, hivyo amewasihi watumishi…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Tume ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Maboresho ya Kodi, Ikulu Zanzibar iliyofika kujitambulisha.Katika…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuridhishwa kwa utoaji na usimamizi wa vipaumbele vyote kwa sekta za umma hasa kwa miradi ya kimkakati.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kuridhishwa kwa utoaji na usimamizi wa vipaumbele vyote kwa sekta za umma hasa kwa miradi ya kimkakati.Amesema…

Read More

Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza na kuwashukuru madaktari kutoka hospitali ya MIOT ya India kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuwahudumia Wazanzibari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza na kuwashukuru madaktari kutoka hospitali ya MIOT ya India kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuwahudumia…

Read More