Media

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa (UNDP) Nchini Tanzania Bi. Christine Musisi akiwa na Ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA MWAKILISHI MKAAZI WA UNDP NCHINI TANZANI.

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Miradi ya Maendeleo (UNDP) limepongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wa Zanzibar, chini ya uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Ujumbe wa Hospitali ya Chuo Kikuu.

DK. SHEIN AMEZUNGUMZA NA UJUMBE KUTOKA HOSPITALI YA CHUO KIKUU YA HAUKELAND.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Chuo Kikuu cha Haukeland ya nchini Norway kusaidia ujenzi wa Hospitali ya wagonjwa…

Read More

KISIWA CHA UZI KUJENGEWA BARABARA NA DARAJA LA KISASA.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kwamba ahadi aliyoitoa ya ujenzi wa barabara na daraja la kisasa la…

Read More

Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Shein amezungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Kusini Unguja.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameiunga mkono kauli ya Wazee wa CCM wa Mkoa wa Kusini Unguja ya kuwa Mkoa huo…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Hutuba yake wakati alipokuwa akizungumza na Wazee wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini(A).

DK.SHEIN AMERIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA BARABARA YA BUBUBU-MAHONDA HADI MKOKOTONI.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ameeleza kuridhishwa na kasi kubwa inayoendelea ya ujenzi wa barabara ya Bububu-Mahonda…

Read More
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti a Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba   ya ufunguzi wa Maadhimisho ya Maonesho ya kutimia miaka 20 ya kuanzishwa kwa Jumuiya ya Afrika Mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Fumba Mji mpya.

DK.SHEIN AMEFUNGUA MAONESHO YA MIAKA 20 YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa eneo la Afrika Mashariki ni sehemu nzuri kiuchumi, iwapo utatumiwa vizuri ujuzi, maarifa, ubunifu pamoja…

Read More

WAZEE WAMEMPONGEZA DK. SHEIN.

WAZEE wa CCM Wilaya ya Magharibi Unguja wameeleza kuridhishwa na uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia, ni Makamo Mwenyekiti wa CCM…

Read More
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar DK.Ali Mohamed Shein akizungumza na Wazee wa CCM wa Wilaya ya Mjini patika mkutano wa ndani akiwa katika ziara zake za kuimarisha Chama leo katika ukumbi wa Ofisi

DK.SHEIN KATIKA ZIARA ZA KUIMARISHA CHAMA CHA CCM.

MAKAMO Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, amesema kuwa Serikali anayoiongoza itaendelea kuwatunza na kuwaenzi wazee ikiwa…

Read More