State House Blog

Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Salum Turky Zanzibar.

  • wanafunzi waliofika katika Chumba cha maktaba kujisomea vitabu mbali mbali kama walivyokutwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Ujumbe wake (hawapo pichani) wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(kushoto) akiwepo Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Ndg.  Khamis Abdulla Said wakati mwanafunzi Abdul Aziz Sleiman Ali wa darasa la 7 alipowa karibisha katika Chumba cha Maktaba  wakati alipotembelea baada ya kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi,(katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi mwengine wakipata maelezo  wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Tehama wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwiyi, Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla (kulia) na Viongozi mwengine akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Khalfani Abdalla  Saidi 7 wakati alipotembelea katika chumba cha Somo la Sayansi wakati alipoifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuifungua rasmi Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF,hafla iliyofanyika katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,wengine walioshuhudia,Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla (wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghari Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa (kulia)  06/01/2023.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Lela Muhamed Mussa kwa pamoja wakifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-Binti Amran,Viongozi wengine wakishuhudia   katika   sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023.
  • Wanafunzi wa Skuli mpya ya Sekondari ya Salum Tuky kwa-BintiAmran wakifurahia ujio Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) waliojipanga wakati wa mapokezi ya alipowasili kuifungua rasmi skuli hiyo katika sherehe za shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa fedha Uviko 19 kupitia shirika la Fedha Duniani IMF 06/01/2023