Ufunguzi wa Kituo cha Afya Kidimni, Wilaya ya Kati Unguja
21 Feb 2022
250
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja alichokifungua,ambacho kimejengwa na Washirika maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi zawadi Mtoto Abdalla Nassor mwenye mahitaji maalum katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea
Wananchi mbali mbali wa Kijiji cha Kidimni Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (wa pili kushoto) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kulia) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui (wa pili kulia) na Katibu wa baraza la mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ua ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Katibu Mkuu wa Wizara wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Bi.Fatma Mrisho alipokuwa akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) wakati alipotembelea Sehemu mbali mbali katika Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja mara baada ya kukifungua rasmi leo,kituo hicho kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Baadhi ya wajumbe wa Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui pamoja na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo wakifungua pazia kuashiria Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Ufunguzi wa Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja Kilichojengwa na Serikali ya Mapinduzi kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Balozi wa Korea Nchini Bw.Kim Sun Pyo (katikati) wakata utepe kufungua Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo, Kilichojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Washirika wa Maendeleo ya NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea,(wa pili kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi,(kushoto) Waziri wa Afya,Ustawi wa Jamii,Wazee,Jinsia na Watoto Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi na Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi wakiwa katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja kilichofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ambacho kimejengwa na Washirika hao kwa kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Viongozi mbali mbali na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Maafisa mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya ufunguzi Kituo cha Afya cha Kidimni Wilaya ya kati Unguja leo ambacho kimejengwa na Washirika wa Maendeleo NOAH Delvelopment Association/ Taasisi ya Good People kutoka Nchini Korea na kushirikiana na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.