RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe l
24 Oct 2024
9
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane