Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinmwinyi amezindua Barabara Mkoa wa Kusini Unguja
24 Oct 2024
16
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliuofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Haji Suleiman akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, baada ya kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja. Baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja, baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hiz.
BAADHI ya wageni waalikwa Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Barabara za Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni
MASHEHA wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi.
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024.
WANANCHI wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji hicho, wakati akikagua Barabara hiyo leo 24-10-2024
MZEE wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja Khamis Abdallah Hatib (Babalao) akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Kijiji hicho, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akikagua Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu, wakati wa hafla ya ufunguzi Barabara hizo uliyofanyika leo 24-10-202, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.