Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Maskani ya Kachorora.
30 Jan 2023
84
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM mara baada ya waliofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipozungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia).
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM ulioongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (wa pili kulia) walipofika Ikulu jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi na wanachama wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika Ikulu Jijijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)
Katibu wa CCM Jimbo la Kikwajuni Ndg.Khamis Rashid Mbarouk (wa pili kulia) ni miongoni mwa Viongozi wa Maskani ya Kachorora alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Maskani ya Kachorora CCM walipofika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiongozwa na Mwenyekiti wa Maskani hiyo.Bw.Mohamed Mussa (kulia kwa Rais)