Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani Ikulu Zanzibar.
21 Oct 2024
14
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-10-2024, ujumbe huo ukiongozwa na Dr. Nazir H.Arab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Dr. Salim Slim Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya, Wizara ya Afya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-10-2024, ujumbe huo ukiongozwa na Dr. Nazir H.Arab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Dr. Salim Slim Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya, Wizara ya Afya Zanzibar.