State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Bodi Mpya ya BMF katika jengo la Mkapa Foundation Kawe.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuizundua Bodi Mpya ya Taasisi ya Benjam William Mkapa Foundation (BMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam leo 14-12-2024, na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (BMF) Balozi Liberata Mulamula na (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dr.Ellen M .Senkoro