Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi ameweka Jiwe la Msingi Mradi wa Hoteli ya Buhairan Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja.
06 Jan 2025
2
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamra shamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhizwa zawadi maalumu inayoelezea Miradi mbalimbali ya ZIPA, akikabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa ZIPA Saleh Saad Mohamed, na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
WASANII wa Kikundi cha Msondo kutoka Mkoa wa Kusini Unguja wakitowa burudani wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini na Wageni waalikwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapiduzi Matukufu ya Zanzibar, uliofanyika leo 6-1-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD - Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayuob Mohammed Mahmoud na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Said Ahmed
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi,Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff, uzinduzi huo uliyofanyika leo 6-1-2025 ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo ya Mradi wa ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA, inayojengwa Bwejuu kutoka kwa Meneja Mradi huo Bahaaedin Abdelmonem, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Hoteli hiyo uliofanyika leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Muwakilishi wa Familia ya Kifalme ya Abu Dhabi Dr.Mohammed Bin Omar na Meneja Mradi wa Ujenzi wa Hoteli ya SSPD- Buhairan-Plan Hotel SA. Bahaaedin Abdelmonem, alipowasili katika viwanja vya mradi huo kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Hoteli hiyo inayojengwa Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.