Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar.
03 Jan 2025
2
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Said Hamad Ramadhani, ni mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Ali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi funguo Shinuna Salim Said, mmoja wa Mwananchi aliyenunua Nyumba ya Shirika la Nyumba Zanzibar, wakati wa hafla ya ufunguzi wa nyumba hizo, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto) Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaai Zanzibar Mhe.Rahma Kassim Al
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
BAADHI wa Mawaziri na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika hafla ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika sehemu ilioandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi baada ya kuwe Jiwe la Msingi la ufunguzi Nyumba 72 za Shirika la Nyumba Zanzibar,ziliizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakitembelea moja ya Nyumba za Shirika la Nyumba Zanzibar, baada ya kuweka Jiwe la Msingi wa ufunguzi wa nyumba 72 za Makaazi na Biashara, zilizojengwa katika eneo la Mombasa kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Nyumba 72 za Makaazi na Biashara za Shirika la Nyumba Zanzibar, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba Zanzibar Sultan Said Suleiman akitowa maelezo ya kitalamu ya ujenzi wa nyumba 72 za Shirika hilo zilizojengwa katika eneo la Mombasa Kwamchina Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar