Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Bodi Mpya ya BMF katika jengo la Mkapa Foundation Kawe.
16 Dec 2024
4
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi nyenzo za kufanyika Kazi Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi ya BMF Balozi Liberata Mulamula, baada ya kuizindua Bodi hiyo hiyo leo 14-12-2024 katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Msarifu wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuizundua Bodi Mpya ya Taasisi ya Benjam William Mkapa Foundation (BMF) uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Jengo la Mkapa Foundation Kawe Jijini Dar es Salaam leo 14-12-2024, na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya (BMF) Balozi Liberata Mulamula na (kulia kwa Rais) Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dr.Ellen M .Senkoro

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya MIOT ya India Ikulu Zanzibar.
11 Dec 2024
5
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Madaktari Bingwa kutoka Hospital ya MIOT Nchini India,ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya MIOT kutoka Nchini India Dr.Prithivi Mohandas (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Hoteli Golden Tulip Uwanja Wandege Zanzibar
11 Dec 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa wakati akitoka katika ukumbi baada ya kumalizika kwa hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, iliyofanyika leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar (kushoto) Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.. Hemed Suleiman Abdulla,baada ya kuizindua leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
MWANANCHI Rehema Ali Hassan Mkaazi wa Jangombe Wilaya ya Mjini Unguja akifuatilia hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa uzinduzi huo, uliyofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uzinduzi huo uliofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 11-12-2024
BAADHI ya Viongozi wa Serikali, Taasisi na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, iliyozinduliwa leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050,Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa, baada ya kuizindua leo 11-12-2024, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na wanamichezo ya vikundi vya Mazoezi ya viungo vya Zanzibar Katika Matembezi ya Afya Zanzibar
08 Dec 2024
5
MKE wa Rais wa Zanzibar na Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Marian Mwinyi,akikabidhiwa TUZO maalum ya kuthamini mchango wake katika Sekta ya Afya Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, baada ya kumalizika kwa Matembezi ya Afya Zanzibar “Chagua Mazoezi kuwa Sehemu ya Maisha Yako”yaliyomalizikia katika Viwanja vya Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja leo 8-12-2024
Maghafali ya Chuo Kikuu cha Zanzibar University
05 Dec 2024
7
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) akitunikiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024. Katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
BAADHI ya Wazazi Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University ) wakifuatilia Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wahitimu wa ZU katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo cha Zanzibar University,yaliyofanyika leo 5-12-2024, katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
WAHITIMU wa Chuo cha Zanzibar University (ZU) wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitunukia Shahada ya Heshima ya Uchumi ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (Zanzibar University) na Chancellor, Zanzibar University. Mhandasi Dr.Abdulqadir Othman,wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo cha Zanzibar University Mhandisi Dr. Abdulqadir Othman alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kuhudhuria Mahafali ya 22 yaliyofanyika leo 5-12-2024 na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Ali Suleiman Ameir
WAHITIMU wa Chuo Cha Zanzibar University wakiwa katika maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya Chuo Tunguu Wilaya ya Kati Unguja.
MTOTO Abdulrazak Ali Haji akiwa na uwa lake katika viwanja vya Chuo Kikuu Cha Zanzibar (Zanzibar Universit ) akisubiri kumkabidhi Kaka yake Rashid Suleiman Bakar, baada ya kutunukiwa Shahada yake katika Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 5-12-2024 katika viwanja vya chuo Tunguu Wilaya ya Kati Ungja