Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
03 Jan 2025
2
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutuba baada ya kukifungua Kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri, Viongozi wa Serikali na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichai) akihutuba baada ya kukifungua Kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu ya Zanziba
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika viwanja vya kituo hicho leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kukifungua Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,(kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Mkurugenzi Muendeshaji wa ZSSF Nassor Shaban Ameir
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum (kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 3-1-2025 ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa