Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amezindua Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar katika Viwanja vya Nyamanzi Zanzibar.
14 Apr 2024
15
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mkurugenzi wa (BOT) Tawi la Zanzibar Camillus Kombe,wakati akitembelea banda la maonesho la (BOT) katika viwanja vya Maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B”, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo na Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe.Zuberi Ali Maulid.14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Fatma Mabrouk Khamis ,wakati akitembelea banda la maonesho la Wizara hiyo katika viwanja vya Maonesho Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B”, Unguja, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud.14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla,wakimsikiliza Katibu Msaidizi wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) Jonas Nduttu, wakati akitembelea banda la maoneshe la (JFC) wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Nyamazi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, kwa ajili ya Uzinduzi Rasmin wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, uliofanyika leo 14-4-2024 katika viwanja hivyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, wakimsikiliza Afisa Masoko na Uhusiano wa Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar (ZHSF) Asha Kassim Biwii,wakati akitembelea banda la maoneshe la (ZHSF) wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi , wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Cyprian Luhemeja, wakati akitembelea banda la maoneshe la Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, wakati wa Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya maonesho vya Nyamanzi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe.Dkt. Selemani Jafo, baada ya kutembelea baanda la maonesho la Ofisi hiyo wakati wa uzinduzi wa Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganika na Zanzibar, yanayofanyika katika viwanja vya Maonesho vya Nyamazi Dimani Ndambani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 14-4-2024
Rais wa Zanzibar Lhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi wa Kijiji hca Kilimani Tazri katika Dua ya kumuombea Rais wa Tanzania Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi na Ibada ya Sala ya Ijumaa.
12 Apr 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Mifti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Mahmoud Mussa Wadi alipowasili katika viwanja vya Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, kuhudhuria Ibada ya Sala ya Ijumaa na Kisomo cha Hitma na Dua ya kumuiombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti, Mkoa wa Kaskazini Unguja katika kisomo cha Hitma na Dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024 baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari. na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024
WANANCHI wa Kijiji cha Kilimani Tazari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi katika kisomo cha hitma na dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 12-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi,ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Hadid Rashid Hadid, iliyofanyila leo 12-4-2024 katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalia Wananchi wa Kijiji cha Kilimani Tazari Kidoti baada ya kumalizika kwa Dua na Kisomo cha Hitma ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Pili Mstaafu Hayati Alhajj Ali Hassan Mwinyi, iliyofanyika leo 12-4-2024, katika Masjid Hidaya Kilimani Tazari, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Wananchi katika Ibaada ya Sala ya Eid Fitry Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Zanzibar.
10 Apr 2024
13
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi wakati akiondoka katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika leo kwa kumamilisha Ibada ya Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj.Balozi Seif Ali Iddi, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Alhajj Dkt.Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais wa Zanzibar Mstaafu Alhajj Dkt. Amani Abeid Karume, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry,iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman
WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiwa katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomewa na Sheikh.Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini leo 10-4-2024, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam na Viongozi wa Serikali katika kutikia dua ikisomwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Hassan Othman Ngwali (hayupo pichani) baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar10-4-2024, baada ya kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhajj Othman Masoud Othman na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla na Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mhe. Hafidh Ameir
BAADHI ya Viongozi wa Serikali,Balozi Mdogo wa Oman na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Sala ya Eid Fitry ikisomwa na Sheikh Abdulkarim Said Abdulla, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Eid Fitry iliyofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-4-2024, kwa kumalizika kwa Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuandama kwa mwezi jana
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi wa Dini na Serikali alipowasili katika viwanja vya Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B”Unguja Jijini Zanzibar, kujumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Eid Fitry, iliyofanyika leo baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Baraza La Eid Fitry katika ukumbi wa Chuo Cha Polisi Ziwani Zanzibar.
10 Apr 2024
18
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amehutubia Baraza La Eid Fitry katika ukumbi wa Chuo Cha Polisi Ziwani Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi baada ya kupokea Salamu za Heshima za Baraza la Eid kutoka gwaride maalum la Kikosi cha FFU lililoandaliwa kwa ajili ya Baraza la Eid Fitry katika viwanja vya Ukumbi wa Chuo cha Polisi Ziwani leo 10-4-2024 Wilaya ya Mjini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima katika Sherehe za Baraza la Eid Fitry, katika viwanja vya Chuo cha Polisi Ziwani Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Salamu ya Heshima katika Sherehe za Baraza la Eid Fitry, katika viwanja vya Chuo cha Polisi Ziwani Wilaya ya Mjini Unguja leo 10-4-2024.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk Hussein Mwinyi amezungumza na Masheikh na Wananchi waliofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumtakia Kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry.
10 Apr 2024
9
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi waliofika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kumsalimia na kumtakia Kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry, na kutowa mkono wa Eid kwao
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Masheikh na Viongozi wa Dini katika kuitikia dua ikisomwa na Sheikh. Khamis Abdulhamid (hayupo pichani) baada ya kumaliza kumsalimia na kumtakia Kheri na Sikukuu ya Eid Fitry, na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla
VIONGOZI wa Dini na Masheikh Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na Masheikh hao katika ukumbi wav Ikulu Jijini Zanzibar, walipofika kwa ajili ya kumsalimia na kumtakia kheri ya Sikukuu ya Eid Fitry, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-4-2024