Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mabalozi mbali mbali wa Nchi za Bara la Afrika Ikulu Zanzibar.
21 Oct 2024
15
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Mabalozi mbalimbali wa Nchi za Bara la Afrika, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Balozi wa Egypt Nchini Tanzania Mhe.Sharif A.Ismail na (kulia kwake) Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Mhe.Andrew Kumwenda,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Mabalozi mbalimbali wa Nchi za Bara la Afrika,ukiongozwa na Mwenyekiti wake Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dkt.Ahamada El Badaoui Mohammed (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024
Mahafali ya 12 ya Zanzibar School of Health katika viwanja vya Mao Tse Tung Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
19 Oct 2024
11
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed , wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalumu Bi. Talaa .M. Msellem, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar”Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024

VIONGOZI wa Serikali na Wanafamilia wa Wahitimu wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar (Zanzibar School of Health) wakifuatilia mahafali hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa mahafali hayo, baada ya kuwatunuku Stashahada
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
WAHITIMU wa Stashahada ya Ufundi Stadi Madawa (Pharmaceutical Science)wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
/WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga (Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Mwinyi amezindua Bandari Kavu Maruhubi Zanzibar Leo 18-10-2024
18 Oct 2024
8
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja inayoendeshwa na Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal” na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed, baada ya kuifungua leo 18-10-2024 katika eneo la Maruhubi Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi inaoyeondeshwa na Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal” uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024 katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma maelezo ya Jiwe la Msingi la uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuizindua leo 18-10-2024, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dk.Khalid Salum Mohammed, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Bandari Kavu Maruhubi, inayoendeshwa na Kampuni ya “Zanzibar Multipurpose Terminal” uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024 katika eneo la Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

BAADHI ya Wageni Waalikwa na Wananchi wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024,wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua bandari hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zanzibar Multipurpose Terminal. Nicolas Escalin (kulia kwa Rais) na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed,wakati akitembelea Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuifungua leo 18-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
WAFANYAKAZI wa Shirika la Bandari Zanzibar wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu Maruhubi Wilaya ya Mjini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 18-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifungua bandari hiyo.
Rais wa Zanzibar Alhajj Dk.Hussein Mwinyi amejumuika na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Ibada ya Sala ya Ijumaa katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu leo 18-10-2024
18 Oct 2024
10
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Ndg. Salum Omar Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Ndg. Salum Omar Khamis, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Ndg. Salum Othman, baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-10-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-10-2024
WAUMINI wa Dini ya Kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja leo 18-10-202
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Msjid Fatma kwa Muhammed Ali Kidongochekundu Wilaya ya Mjini Unguja, alipowasili kwa ajili ya Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 18-10-2024 katika msikiti huo
RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEONGOZA JUKWAA LA 13 LA BIASHARA ZANZIBAR LEO 12-10-2024
13 Oct 2024
4
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kufungua Mkutano wa Jukwala la 13 la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Zanzibar leo 12-10-2024