Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja
23 Oct 2024
24
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua 23-10-2024, kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Mkokotoni wakati akiifungua iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdallah Said, wakati akitembelea Darasa la Komputa katika Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024 kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Mama) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemned Suleiman Abdulla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa

MUONEKANO wa Jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 23-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kulia kwake) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa
BAADHI ya Viongozi na Walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Chama, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wanafunzi mbalimbali wa Skuli za Msingi na Sekondari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Machano Haji Machano wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Maryam Ussi Kombo,wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah