Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi amefungua Skuli ya Msingi ya Ghorofa ya Abeid Amani Karume Mwera.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwanafunzi Adam Simai Uwesu wa Darasa la Sita Skuli ya Msingi Mwera, akitowa maelezo ya matumizi ya vifaa vya Maabara wakati akitembelea maabara ya Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume leo 12-3-2025, baada ya kuifungua
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma vitabu wakati akiwa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume Mwera Wilaya ya Kati Unguja, baada ya kuifungua leo 12-3-2025.akiwa na Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Mwera wajisomea vitabu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa (kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karume Mwera Wilaya ya Kati Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-3-2025, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Msingi ya Abeid Amani Karumeu Mwera Wilaya ya Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-3-2025 na (kulia kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud