Rais wa Zanzibar Mgeni Rasmin Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu Cha Abdulrahaman Al- Sumait Chukwani Zanzibar leo 25-1-2025
25 Jan 2025
3
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Bachelor Degree of Science Biology and Chemistry” Aisha Said Ali, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akisoma ratiba wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhamed Mussa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulraham Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulraham Al-Sumait Chukwani Zanzibar, yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi,ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya mahafali hayo, akiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, yaliyofanyika leo 25-1-2025
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya 24 yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, ni mgeni rasmin katika Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt. Amani Abeid Karume, alipowasili katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali yaliyofanyika leo 25-1-2025
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Chuo hicho kwa ajili ya Mahafali ya 24 yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
WAGENI waalikwa na Wanafamilia ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahaman Al-Sumait Chukwani Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mwanafunzi Bora wa “Master of Shariah and Islamic Jurisprudence” Ali.S.Maalim, wakati wa hafla ya Mahafali ya 24 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Chukwani Zanzibar, mahafali hayo yaliyofanyika leo 25-1-2025 katika viwanja vya Chuo hicho Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.