State House Blog

Rais wa Zanbzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la “The Flying Fox” linaliitangaza Pemba na Kuifungua Kiuchumi, akikabidhiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hazina 024.Ndg.Hakimu Kimara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.