State House Blog

Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi amegawa vifaa vya uvuvi.

  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Mkoba wenye mabuku,viatu pamoja sare za skuli Mtoto Haitham Marouk Fakih katika hafla ya kugawa vifaa vya watoto mayatima wa Wilaya za Chake chake na Micheweni Mikoa wa Pemba,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi Mkoba wenye mabuku,viatu pamoja sare za skuli Mtoto Ismail Suleiman Ali Chake chake katika hafla ya kugawa vifaa vya watoto mayatima wa Wilaya za Chake chake na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi na vikundi vya Ukulima wa mwani vya Wilaya ya  Mkoani katika hafla ya kugawa vifaa vya Uvuvi wa Mwani kwa vikundi katika  Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akimkabidhi Fimbo (White cane) Bi.Habiba Nassib Makame Gongomawe wa Wilaya ya Chake chake mwenye tatizo la kutoona katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo (White cane) kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya za Chake chake  na Micheweni Mikoa wa Pemba, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo  katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akimkabidhi Fimbo (White cane) Mtoto Habibu Abdalla wa Chokocho Wilaya Micheweni mwenye tatizo la kutoona mwenye uhitaji maalum  katika hafla ya kugawa vifaa mbali mbali vikiwemo viti vya magurudumu,Fimbo (White cane) kwa watu wasioona,Magodoro na Fomu za Skuli pamoja na mikoba kwa watoto mayatima Wilaya za Chake chake  na Micheweni Mikoa wa Pemba ,hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Makonyo katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 01/01/2023.
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi alipowasili katika Ukumbi wa Umoja Ni Nguvu Mkoani Pemba jana kwa jili ya Kugawa vifaa vya Uvuvi kwa vikundi wa ukulima wa Mwani,katika shamra shamra za maadhimisho ya miaka 59 ya mapinduzi matukufu ya Zanzibar,01/01/2023.