Maadhimisho ya Miaka 56 ya Sherehe za Elimu Bila ya Malipo Zanzibar.
Wanafunzi wakipita kwa maandamano wakati kilele cha miaka 56 ya Sherehe za Maadhimisho ya Elimu Bila malipo katika uwanja wa MaoDze Dong

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar kama ishara ya kupokea Maandamano yaliyopita mbele yake katika Uwanja wa Mao-Dze Dong katika kilele cha maadhimisho ya
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwanafunzi Maimuna Iddi Riziki (asiyeona) wa Skuli ya Umoja Uzini Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kuhani utenzi akiwa na mwenzake Ramla Iddi Riziki (asiyeona) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika
Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Zanzibar wakiwa katika Sherehe za maadhimisho ya Miaka 56 ya Elimu Bila Malipo zilizofanyika leo katika Uwanja wa Mao-Dze Dong Mkoa wa Mjini Magharibi ambapo mgeni rasmi akiwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
Wanafunzi wa Chuo cha Afya kwa mchina wakipita kwa maandamano mbele ya RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) katika Uwanja wa Mao-Dze Dong wakati wa kilele cha maadhimisho ya Miaka 56 ya sherehe za Elimu bila malipo zilizofanyika