KUAPISHWA MWENYEKITI NA MAKAMISHA WA TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR.
28 Aug 2023
108
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) akimuapisha Ndg.Ayoub Bakari Hamad, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Awadh Ali Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Halima Mohamed Said, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Idrissa Haji Jecha, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Ndg.Juma Haji Ussi, kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji George Joseph Kazi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji George Joseph Kazi, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Jaji Aziza Iddi Suwedi , kuwa Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi pamoja na Mwenyekiti Mhe.Jaji George Joseph Kazi (kulia) na Viongozi wengine kabla ya kuapishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar