Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono maelfu ya wananchi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar, ambapo Viongozi mbali mbali wa Kimataifa walihudhuria.
Kikosi FFU cha Jeshi la Polisi wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakitoa salamu ya Heshma kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyiakiwa mgeni rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Viongozi mbali mbali wakisimama wakati wimbo wa Taifa Ukipigwa katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar.mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa ZanzibAR mAREHEMU mZRR aBEID aMANI kARUME WAKATI WA kILELERais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikagua Gwaride la Heshma la Vikosi vya Ulinzi na Usalama katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Magereza wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa haraka katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Wazee wa Miaka 60 ya Mapinduzi wakiimba wimbo maalum na kurusha Njiwa katika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar zilizofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Bendera cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikosi cha Jeshi la Polisi Wananwake wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Kikundi cha Brass Band cha Chipukizi wakiongoza maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Wafanyakazi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto wakipita mbe ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa Maandamano ya Wananchi na Taasisi mbali mbali katika kusherehekea maadhimisho ya Kilele cha miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha za Marais Wastaafu wa Zanzibar wa Awamu zilizopita katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar
Vijana wa Chipukizi wakibeba Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume pamoja na Bendera katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo katika Uwanja wa New Amani Komplex Jijini Zanzibar