State House Blog

Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

  • Wananchi pamoja na Viongozi mbali mbali wa chama na Serikali wakishiriki katika maadhimisho ya kilele cha Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika Kiwanja cha mpira cha Gombani Kisiwani Pemba.
  • Makamandoo wa Jeshi la Ulinzi na Usalama wa Tanzania wakionyesha Onyesho la kudhibiti Kiongozi wa Waasi wakati wa Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 61 ya mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha michezi Gombani katika Kisiwa cha Pemba.
  • Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wakipita mbele ya Mgeni Rasmini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar Mheshimiwa Dk Hussein Ali Hassan Mwinyi wakati wa maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika katika kisiwa cha Pemba Zanzibar.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika sherehe za Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika Kisiwa cha Pemba tarehe 12/01/2025
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi Zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akipokea heshima ya kupigiwa mizinga 21 wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akikagua Gwaride la Vikosi vya Ulimzi na Usalama vya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na vikosi vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi zanzibar yaliyofanyika katika kiwanja cha Mpira cha Gombani kisiwani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025. .
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa katika gari la wazi huku akiwapungia mkono wananchi waliofika wakati akiwasili katika Uwanja wa Gombani, Mkoa wa Kusini Pemba kushiriki kilele cha Sherehe za kutimiza Miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari 2025 yaliyofanyika Kisiwani Pemba.