Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameizindua Meli ya Mizigo na Abiria ya MV.Ikram Bandari ya Wete Pemba
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba, wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba katika uzinduzi wa Meli Mpya ya Mizigo na Abiria MV Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Meli Mpya ya MV Ikraam baada ya kuizindua rasmin katika bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Nahodha wa Meli ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1, wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua rasmin,hafla hiyo imefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabahari wa Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1, baada ya kuzinduliwa rasmin,katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
MKURUGENZI Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Abiria na Mizingo ya MV Ikraam 1. Bw Juma Amour akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalamu ya Meli hiyo, wakati wa hafla ya Uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika bandari ya Wete Pemba.
BAADHI ya Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuizindua Meli Mpya ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanyas afari zake kati ya Unguja na Pemba .
RAIS WA ZANZIBAR MHE.HUSSEIN ALI MWINYI AMEAZA ZIARA MKOA KASKAZINI PEMBA
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali mwinyi akisoma taarifa ya Utekelezaji ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi mikutano wa Micheweni.
BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji Kazi ya Mkoa wa Kaskazini Pemba ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Mhe.Salama Mbarouk Khatib, kabla ya kuaza kwa ziara katika Mkoa huo.hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Micheweni
BAADHI Viongozi wa Serikali wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakifuatilia taarifa ya utekelezaji ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
Rais wa Zanzibar amekutana na Mwakilishi wa Heshima wa Slovakia.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw (katikati)alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha akiwepo na Mratibu wake hapa Zanzibar Mhe.Ibrahim Rara.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia)akiwa katika mazungumzo na Mwakilishi wa Heshima wa Tanzania katika Jamhuri ya Slovakia Bw.Mustafa Khataw wakati alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambilisha.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Mabalozi wa Nchi ya Ujerumani,Rwanda na Kuwait Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya Kasha mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania.Mhe.Mubarak Mohammed Alsehaijan, alipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe.Maj.Gen.Charles Karamba,alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe.Regina Hess, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazunguzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo na Ushirikiano Ubalozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Dr.Katrin Bornemann, wakati wa mazungumzo na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Mhe. Regina Hess.(kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Kuwait Nchini Tanzania Mhe. Mubarak Mohammed Alsehaijan, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Rwanda Nchini Tanzania Mhe.Maj.Gen.Charles Karamba (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Afisa wa Ubalozi wa Rwanda. Bw.Issa Mugabutsinze, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
Ufunguzi wa Mafunzo ya Wajasiria Mali katika Kijiji cha Kizimkazi Kusini Unguja.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja kufungua mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi chini ya usimamizi wa Benki ya CRDB Tanzania.
Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
Wajasiriamali wa Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja wakiwa katika mafunzo yanayohusu kazi zao yaliyofunguliwa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Marium Mwinyi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake wakati wa kufungua wa mafunzo ya wajasiriamali pamoja na Tamasha la Kizimkazi yaliyoandaliwa na Benki ya CRDB Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika Ukumbi wa Skuli ya Kizimkazi Wilaya ya Kusini Unguja.