State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Global Water Partnership Southern Africa Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa” Bw.Alex Simalabwi, alipofika Ikulu Zanzibar na Ujumbe wake kwa mazungumzo yaliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi(kulia kwa Rais).
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa picha ya ramani ya Bara la Afrika na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”Bw.Alex Simalabwi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partnership Southern Africa”walipofika Ikulu kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Katibu Mtendaji wa Taasisi hiyo Kanda ya Afrika Bw. Alex Simalabwi.(kulia kwa Rais)
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Ujumbe wa Taasisi ya “Global Water Partneship Southern Africa” baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar 9-9-2021

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake Kisiwani .

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Shumba Mjini wakati wa ziara yake kukagua Bandari ya Shumba Mjini, bandari hiyo inatarajiwa kurasimishwa na kujengwa ili kutowa huduma kwa wananchi wa Kijiji hicho

  • KATIBU wa Bandari ya Shumba Mjini Bw.Hussein Rashid akizungumza changamoto katika bandari hiyo. Wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani)akiwa katika ziara yake kutembelea Bandari ya Shumba Mjini ambayo inatarajiwa kurasimishwa.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.
  • WANANCHI wa Kijiji cha Shumba Mjini Wilaya ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi hao,wakati wa ziara yake Mkoa wa Kaskazini Pemba kuangalia eneo la Bandari ya Shumba Mjini na kupata maelezo ya mafupi juu ya bandari hiyo inahitaji kurasimishwa na kuwa bandari rasimin.

Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi anaendelea na ziara yake Kisiwani

  • WANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wakulima wa zao la mwani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba ilioaza.
  • KATIBU wa Kamati ya Kilimo cha Mwani Kiuyu Mbuyuni Bi. Bimkubwa Mkashasha Shaame akizungumzia changamoto za zao la mwani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi wakati wa ziara yake kuwatembelea wakulima wa Mwani katika Kijiji cha Kiuyu mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba leo 31-8-2021.
  • Mkuu wa Kitengo cha Biashara Benki ya CRDB Bw.Toyi Ruvumbagu akizungumza wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) wakati wa ziara yake kuwatembelea Wakulima wa Zao la Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba Benki ya CRDB itatowa mkopo kwa Wakulima wa Mwani na Vijana wa Bodaboda Pemba
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwananchi wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Khatib Mshindo mkulima wa Mwani akizungumza changamoto za zao la Mwani wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba kuzungumza na Wakulima wa mwani wa Kiuyu mbuyuni leo 31-8-2021
  • BAADHI ya Mawaziri na Mkuu wa Mkoa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni. Wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.
  • MWANANCHI wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Bw.Hamad Kombo Msolopo akizungumza kero yake wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika kuzungumza na Wakulima wa Kilimo cha Mwani katika Kijiji cha Kiuyu Mbuyuni Wilaya ya Micheweni Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wakulima wa Mwani wa Kijiji cha Kiuyu Mbuyni wakati wa ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba leo 31-8-2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk.Hussein Ali Mwinyi atemelea Hospitali ya Micheweni Pemba.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Idara ya Maabara Hospitali ya Micheweni Pemba Dkt. Shahid Mansoor, alipotembelea Maabara ya hospitali hiyo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakati wa ziara yake baada ya kupata maelezo kutoka kwa Uongozi wa hospitali hiyo na kuitangaza rasmin kuwa Hospitali ya Wilaya.

  • MADAKTARI na Wauguzi wa Hospitali ya Micheweni Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakiti wa ziara yake kuona maendeleo ya hospitali hiyo na kuipandisha kuwa Hospitali ya Wilaya.

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ametembelea Skuli ya Sekondari ya Amani Abeid Amani Micheweni.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar.Bw. Ali Khamis Juma,wakati wa ziara yake kutembelea Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, kupata maelezo ya changamoto ya ukosefu wa Dakhalia katika Skuli hiyo.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari ya Dr,Amani Abeid Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika katika Skuli hiyo kupata changamoto ya Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Kijiji cha Konde,akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba, alipowasili katika eneo linalotaka kujengwa Kituo cha Daladala na kupata maelezo ya ujenzi huo na kusikiliza kero za Wananchi wa Konde.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Wanafunzi na Walimu wa Skuli ya Sekondari ya Dr.Amani Abeid Amani, baada ya kupokea taarifa ya changamoto ya kukosa Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  • WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari ya Dr,Amani Abeid Amani wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) alipofika katika Skuli hiyo kupata changamoto ya Dakhalia kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuli hiyo, akiwa katika ziara yake katika Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba.