Dk.Shein amemuapisha Mkuu wa KVZ Zanzibar Major Said Ali Juma Shamhuna.
21 Jun 2019
745
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa
Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.
Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Varantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa
Ukulu Zanzibar, 21-6-2019, kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Idd
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibare KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumalizika kwa hafla hiyo iliofanyika Ikulu Zanzibar.
MKUU Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna akipitia Hati ya kiapo kabla ya kuaza kwa hafla hiyo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisaini Hati ya Kiapo ya Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,baada ya kumaliza kuapa hafla hiyo imefanyika Ikulu.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,
akimsalimia na kumpongea Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, baada ya kumaliza hafla hiyo leo Ikulu Zanzibar.
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakihudhuria hafla ya
kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyila leo Ikulu Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanziubar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi,
Spika wa Bara la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said na Viongozi wengine wa Sereikali wakihudhuria hafla ya kuapishwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia
Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika 21-6-2019 Ikulu Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.
Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama baada ya kumaliza hafla ya kumuapisha
Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna,iliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.