State House Blog

Dk.Shein amefungua maonyesho ya Kilimo Kizimbani Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabihi Ufungo wa Treka Mwenyekiti wa Ushirika wa Kilimo Mkombozi cha Mkokotoni Ndg. Haji Mashaka Omar,wakati wa hafla ya Maonesho ya Kilimo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika moja ya Trekta lililotolewa Mkopo na Benki ya TAD kwa Vikundi vya Ushirika Zanzibar, wakati wa hafla ya maonesho hayo yaliofanyika katika viwanja vya Kizimbani Wilaya ya Magharibi"A" Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mwanafunzu wa Chuo cha Kilimo Kizimbani Ndg.Faki Ali Faki na kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifurahia wakati akivuna mboga aina ya spinachi katika kitalu cha maoneshi ya JKU , kulia Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Balozi Seif Alim Iddi.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya MagharibiRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiponyeza kitufe kuashiria kuyafungua Maonesho ya Kilimo Zanzibar katika viwanja vya Kizimbani Wilaya Magharibi "A" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kampuni ya Ujenzi wa Nyumba za Udogo (Hydraform) Bi. Jamila Abeid Saleh, wakati akitembelea banda la maonesho la kampuni hiyo katika viwanja vya maonesho kizimbani.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akivuna mboga aina ya zukini katika kitalu cha Chuo cha Mafunzo wakati wa ufunguzi wa hafla ya maonesho ya Kilimo yanayofanyika katika viwanja vya kizimbani Wilaya ya Magharibi "A" Unguja.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Mafunzo Zanzibar Ali Abdalla Ali,akitowa maelezo ya ufugaji wa kuku wa kisasa, wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kilimo Kizimbani
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiunduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Ndg. Zahran Kassim El-Kharousy, wakati akitembelea banda la kampuni hiyo akitowa maelezo ya jokofu la kuhifadhia samaki.