Baraza la Eld el-Hajj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Ayoub Mohamed Mahmoud mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Maalim mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni Wilaya Magharibi (A) Mkoa wa Mjini Magharibi kuhudhuria katika Baraza la EID- EL-HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah.
Baadhi ya Viongozi na Mawaziri wanawake pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la Kikosi cha Polisi cha FFU mara alipowasili katika Viwanja vya Langoni kuhudhuria sherehe ya Baraza la EID- EL- HAJJ 2019.
Baadhi ya Viongozi pamoja na Wananchi wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID-EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi "A" Mkoa wa Mjini Magharibi
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama samia Suluhu Hassan pamoja Viongozi wengine wakisikiliza Hutuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akitoa hutuba yake kuwahutubia wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika Viwanja vya Langoni Wilaya ya Magharibi ("A") Mkoa wa Mjini Magharibi
Miongoni mwa Wananchi wa Mkoa Mjini Magharibi wakiwa katika Sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 SAWA NA MWAKA 1440 Hijriyah lililofanyika katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi na kuhutubiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein
Askari wa Kikosi cha Polisi FFU Makamo Makuu Zanzibar wakitoa salamu ya Heshma ya gwaride maalum kwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa sherehe za Baraza la EID- EL- HAJJ 2019 sawa na mwaka 1440 Hijriyah lililofanyika leo katika viwan ja vya Langoni Wilaya ya Magharibi(A) Mkoa wa Mjini Magharibi