State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amehutubia Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani katika Ukumbi wa Maonesho Nyamazi Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizindua Kitabu cha Muongozo wa Uazishwaji na Uwendeshaji wa Majukwaa ya Uwezeshaji Wanawake Kiuchumi Zanzibar, wakati wa hafla ya mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani iliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Maonesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyoadhimishwa leo 6-3-2025 katika ukumbi wa Moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizundua Muongozo wa Uwezeshaji wa Majukwaa ya Wanawake Kiuchumi na Uzinduzi wa Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili Dhidi ya Wanawake na Watoto 2025/2030, wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, yaliyofanyika katika ukumbi wa moanesho Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 6-3-2025

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Spika wa Bunge la Cuba Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba, Mhe. Esteban Lazo Hernandez, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 5-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar, mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Baraza la Taifa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Cuba Mhe. Esteban Lazo Hernandez (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika kati

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO Bi.Audrey Azoulay, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-3-2025