State House Blog

RAIS WA ZANZIBAR MHE DK.HUSSEIN MWINYI MGENI RASMIN KILELE CHA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA ZANZIBAR

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Utendaji Kazi wa Mahkama Zanzibar kwa Mwaka 2024,baada ya kuizindua leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, watika wa Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 10-2-2025.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma Jarida la Mizani ya Haki za Mahkama, wakati wa hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025 na (kushoto kwa Rais) Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla.
  • BAADHI ya Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar,Wageni waalikwa na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, iliyofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 10-2-2025
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kitabu cha Muongozo wa Urejeshaji Mali kwa Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla, baada ya kukizindua leo 10-2-2025, katika Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika katika viwanja vya Mahkama ya Mkoa Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar