State House Blog

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi ameifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Skuli hiyo, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua 23-10-2024, kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na wanafunzi wa skuli ya Sekondari ya Mkokotoni wakati akiifungua iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakijumuika na Wanafunzi wa katika chumba cha Maktaba ya Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuifungua leo 23-10-2024,kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ndg.Khamis Abdallah Said, wakati akitembelea Darasa la Komputa katika Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024 kukamilika kwa ujenzi wake,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Mama) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024,ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto ) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemned Suleiman Abdulla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa

  • MUONEKANO wa Jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, iliyofunguliwa leo 23-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kuifungua Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwake) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid na (kulia kwake) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa
  • BAADHI ya Viongozi na Walimu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
  • BAADHI ya Viongozi wa Serikali na Chama, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuifunguwa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • BAADHI ya Wanafunzi mbalimbali wa Skuli za Msingi na Sekondari Mkoa wa Kaskazini Unguja wakifuatilia hafla ya ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni Mkoa wa Kaskazini Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Machano Haji Machano wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais)Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla na (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Maryam Ussi Kombo,wa Kidatu cha Sita Skuli ya Sekondari ya Mkwajuni, wakati wa akitembelea chumba cha maabara cha Skuli ya Sekondari ya Mkokotoni baada ya kuifungua leo 23-10-2024, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa mafanikio ya Miaka Minne ya Uongozi wake wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania katika Viwanja vya Hoteli y

  • Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Verde, Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Oktoba 2024.Dk.Mwinyi amefungua Kongamano lilioandaliwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kumpongeza kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wa Serikali anayoiongoza ya Awamu ya nane.
  • Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akinyaua mkono kuashiria kutoa pongezi katika viwanja vya Verde, Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Oktoba 2024.Dk.Mwinyi amefungua Kongamano lilioandaliwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kumpongeza kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wa Serikali anayoiongoza ya Awamu ya nane.
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakikabidhiwa zawadi maalumu ya picha yao, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Kumpongea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Mwinyi, kutimiza Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane, lilofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 22-10-2024, akikabidhiwa na Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Mhe. Dongo Mabrouk
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa fedha shilingi Milioni Moja kwa ajili ya kuchukulia Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Mwaka 2025, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndg.Fadhil Rajab Maganya, wakati wa Ufunguzi wa Kongamano la kumpongeza Rais wa Zanzibr na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi kutimiza Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane. lilofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 22-10-2024
  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kutimiza miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane, lililoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania, lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja, wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano hilo wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua leo 22-10-2024

  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizindua Kampeni ya “Mazazi Mshike Mwanao”wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kutimiza Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu Nane, lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-10-2024
  • MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia na kulifungua Kongamano la Jumuiya ya Wazazi Tanzania la kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kutimiza Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu Nane, lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-10-2024

  • WASHIRIKI wa Kongamano la Kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kutimiza miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane, lililoandaliwa na Jumuiya ya Wazazi Tanzania, wakiwa wamebeba kapu la Kura za Dk.Hussein Mwinyi,wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 22-10-2024

Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-10-2024, ujumbe huo ukiongozwa na Dr. Nazir H.Arab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Dr. Salim Slim Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya, Wizara ya Afya Zanzibar.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Madaktari Bingwa kutoka Nchini Marekani, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 21-10-2024, ujumbe huo ukiongozwa na Dr. Nazir H.Arab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) Dr. Salim Slim Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya, Wizara ya Afya Zanzibar.

Rais wa Zanzibar Mhe. Dk.Hussein Mwinyi amezungumza na Mabalozi mbali mbali wa Nchi za Bara la Afrika Ikulu Zanzibar.

  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Balozi wa Morocco Nchini Tanzania Mhe.Zakaria El Goumiri,baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Mabalozi mbalimbali wa Nchi za Bara la Afrika, yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na wageni wake Balozi wa Egypt Nchini Tanzania Mhe.Sharif A.Ismail na (kulia kwake) Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Mhe.Andrew Kumwenda,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024.
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Umoja wa Mabalozi mbalimbali wa Nchi za Bara la Afrika,ukiongozwa na Mwenyekiti wake Balozi wa Comoro Nchini Tanzania Dkt.Ahamada El Badaoui Mohammed (kulia kwa Rais) mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-10-2024

Mahafali ya 12 ya Zanzibar School of Health katika viwanja vya Mao Tse Tung Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

  • MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed , wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi TUZO Maalumu Bi. Talaa .M. Msellem, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar”Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024

  • VIONGOZI wa Serikali na Wanafamilia wa Wahitimu wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya Skuli ya Afya Zanzibar (Zanzibar School of Health) wakifuatilia mahafali hayo yaliyofanyika katika uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa mahafali hayo, baada ya kuwatunuku Stashahada
  • RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Mtendaji wa “Zanzibar School of Health” Aziza Omar Hemed na (kushoto kwake) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi, wakati wa hafla ya Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health” yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
  • WAHITIMU wa Stashahada ya Ufundi Stadi Madawa (Pharmaceutical Science)wa “Zanzibar School of Health “ wakitunukiwa Stashahada yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Mahafali ya Kumi na Mbili (12) yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024
  • /WAHITIMU wa Stashahada ya Uuguzi na Ukunga Ukunga (Nursing and Midwifery) wakila kiapo cha Uaminifu baada ya kutunukiwa Stashahada zao katika Mahafali ya Kumi na Mbili (12) ya “Zanzibar School of Health “ yaliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedong Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 19-10-2024