Uzinduzi wa mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi.
27 Oct 2024
28
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiondoa kipazia kuashiria ishara ya kulizindua soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akipata maelezo kutoka kwa Mjasiriamali wa soko kuu la Jumbi baada ya kulifungua soko hilo liliopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika eneo la mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi lililopo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwakagua wajasiriamali na wafanya biashara wadogo wadogo mara baada ya kufika katika mradi wa soko jipya la kisasa la Jumbi kwa nia ya kulifungua Soko hilo lipo Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 27 Oktoba 2024.
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Zanzibar.
26 Oct 2024
21
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar leo 26-10-2024, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.
VIJANA wa Uhamasishaji wa “Stronger With Mwinyi” wakishangilia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja uliofanyika leo 26-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo picha) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024
WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
WAFANYABIASHARA,Wananchi na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Soko hilo leo 26-10-2024, baada ya kukamilika kwa ujenzi wake, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar
MUONEKANO wa Soko Jipya la Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, lililofunguliwa leo 26-10-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Husssein Ali Mwinyi, ikiwa na Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali Awamu ya Nane Zanzibar.
Rais wa Zanbzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi amefungua Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024
25 Oct 2024
22
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
WASHIRIKI wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2014, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Tamasha hilo linalofanyika katika Viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Jarida la “The Flying Fox” linaliitangaza Pemba na Kuifungua Kiuchumi, akikabidhiwa na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Hazina 024.Ndg.Hakimu Kimara, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Maonesho ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha ya mlima wa Kilimanjaro kutoka kwa Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi Mkuu wa Kitengo cha Maendeleo ya Biashara Hifadhi ya Taifa Tanzania (TANAPA). Jully Bede Lyimo, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutokwa kwa Bi.Christina Lucas wa Kampuni ya Fishermen Tour & Travel Ltd, wakati akitembelea maonesho ya Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya Ozti Zanzibar akipata maelezo kutoka kwa Fatma Jaffar Khamis, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Tamasha la Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2024, linalofanyika katika viwanja vya Maonesho Dimani Nyamazi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe l
24 Oct 2024
13
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohammed(kushoto) kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni Maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ai Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Husseinmwinyi amezindua Barabara Mkoa wa Kusini Unguja
24 Oct 2024
21
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Mkoa wa Kusini Unguja, uzinduzi huo uliuofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Haji Suleiman akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, baada ya kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja. Baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wazee wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja, baada ya uzinduzi wa Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hiz.
BAADHI ya wageni waalikwa Mabalozi Wadogo wanaofanyia kazi zao Zanzibar, wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Mradi wa Barabara za Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Unguja, uzinduzi huo uliyofanyika leo 24-10-2024, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni
MASHEHA wa Mkoa wa Kusini Unguja wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi.
VIJANA wa Uhamasishaji wakishangilia katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni, Charawe na Bwejuu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya mpira Ukongoroni leo 24-10-2024,wakati wa uzinduzi wa Barabara hizi
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja na Wafanyakazi wa Wizara ya Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar wakifuatiulia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Jozani,Ukongoroni,Charawe na Bwejuu uliyofanyika leo 24-10-2024.
WANANCHI wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji hicho, wakati akikagua Barabara hiyo leo 24-10-2024
MZEE wa Kijiji cha Charawe Wilaya ya Kati Unguja Khamis Abdallah Hatib (Babalao) akizungumza na kutowa shukrani kwa niaba ya Wananchi wa Kijiji hicho, kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akikagua Barabara ya Jozani, Ukongoroni,Charawe na Bwejuu, wakati wa hafla ya ufunguzi Barabara hizo uliyofanyika leo 24-10-202, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.